Jumatano 22 Aprili 2026 - 14:00
Daktari na mwanaharakati wa kisiasa nchini Australia: “Trump amefanya jambo ambalo hakuna kampeni yoyote ya utalii ingeweza kulifanya

Hawza/ Daktari na mwanaharakati wa kisiasa nchini Australia, amesema kuwa; “Trump amefanya jambo ambalo hakuna kampeni yoyote ya utalii ingeweza kulifanya kuhusiana na Iran.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Daktari na mwanaharakati wa kisiasa nchini Australia, amesema kuwa; “Trump amefanya jambo ambalo hakuna kampeni yoyote ya utalii ingeweza kulifanya kuhusiana na Iran, katika mwendelezo wa maelezo yake amesema kwamba; Trump ameleta hamasa na shauku kubwa kuhusu utamaduni wa Iran, machapisho kuhusu historia, usanifu wa majengo, chakula, muziki na video za lego, vyote hivyo vinakuwa maarufu kwa kasi. Chuki ambayo tuliwekewa kuhusu Iran kwa miongo mingi, kwa haraka inageuka kuwa msaada na heshima.”

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha